
WATU sita wamefariki dunia popo hapo katika ajali mbaya
iliyotokea katika barabara ya Arusha Namanga eneo la Longido Mkoani Arusha
likihusisha gari dogo la abiria na lori la mizigo.
Gari la abiria lililoua watu sita
Tukio hilo ambalo limethibitishwa na Jeshi la polisi Mkoani
Arusha lilitokea 5 za usiku wa kuamkia
jana na kusabaisha abiria sita...