Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa ( Pichani juu wa pili
kushoto) akijumuika pamoja na Baadhi ya Wabunge wanaounda timu ya Bunge
Sports inayoundwa na wabunge kutoka Baraza la Wawakilishi na Bunge la
Jamhuri,wakati wa Chakula cha Mchana alichowaandalia Nyumbani kwake,
Ngarashi Wilayani Monduli mwishoni mwa wiki iliyopita.
Wengine
kwenye picha ya kwanza juu kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa
Habari,Vijana Utamaduni na Michezo,Mh. Amos Makalla, Mbunge wa Jimbo la
Kinondoni,Mh. Iddi Azzan pamoja na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Monduli,
Reuben ole Kunai.
RAIS WA BURUNDI AMFARIJI RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR
-
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, akimfariji Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani
kwake...
5 days ago



0 comments:
Post a Comment