WATU 872 kutoka kaya 72 katika
kata ya Bwawani Wilayani Areumeru Mkoani Arusha ,hawana mahali pa kuishi
baada ya nyumba zao kusombwa na maji pamoja na samani zao zao za ndani .
Mvua hizo pia zimeharibu mamia ya hekari zenye mazao
mbalimbali zilizokuwa zimepandwa na wananchi wa kata ya
Bwawani katika vijini vya Temi ya Simba na Kijiji cha Bwawani .
Akizungumza na waandishi wa habari...
DSE na TSA Waanzisha Ushirikiano kwa Maendeleo ya Startups na Ubunifu Nchini
-
Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limeingia kwenye ushirikiano rasmi na
Tanzania Startup Association (TSA) kwa kusaini makubaliano ya ushirikiano
(MoU...
6 hours ago