Sunday, February 17, 2013


Gunmen shot dead a Catholic priest outside his church in the capital of Zanzibar on Sunday, the second such attack on the Muslim-majority island in recent months.

Zanzibar  police spokesperson  Mohamed Mhina  said in a brief interview that Father Evarist Mushi was blocked by two young men at the entrance of the

On Christmas Day, gunmen shot and seriously wounded a Catholic priest as he returned home from church.
It is not clear if the two attacks were linked, or religiously motivated.
In November, attackers threw acid in the face and chest of a Muslim cleric, and there have been tensions between the two communities in the semi-autonomous Tanzanian archipelago.

“For now, we cannot say what the motives are for the attack, but we have launched search operations for the attackers,” added Mhina.

Zanzibar’s Christian community is a minority there, an estimated three percent of the 1.2 million population, which is otherwise almost entirely Muslim.

Tourism is the main foreign currency earner for Zanzibar, famed for its white-sand beaches and historical buildings in Stone Town, listed as a world heritage site by UNESCO.

Tuesday, February 12, 2013


Tanzania natural attractions, Mount Kilimanjaro, Serengeti national park and Ngorongoro crater have been declared Africa’s seventh wonders.
SERENGETI NATIONAL PARK


MT.KILIMANJARO
NGORONGORO CRATER


SERENGETI National Park was declared the best of the seven New Natural Wonders of Africa as all the three entries from Tanzania made it to the coveted seven.

Announcing the new ‘Seven Wonders’ of nature here, the President and Founder of the Texas (US)-based ‘New Seven Wonders,’ Dr Philip Imler, revealed that though the seven wonders are not ranked in positions, Serengeti stood out due to its legendary, spellbinding largest migration of large mammals.
Ngorongoro Crater, found within the Ngorongoro Conservation Area Authority, and described as ‘The Bowl’ in which a variety of wildlife live,’ was also voted among the Seven Wonders of Nature while Mount Kilimanjaro, which is Africa’s highest mountain, became the third entry from the country.
Other winners were the ‘Red Sea Reef,’ on the coast of Egypt and Sudan; River Nile, which flows into more than 10 countries in Africa, the Sahara Desert encompassing nearly ten countries as well and the Okavango Delta of Botswana.
A total of 12 entries from around the continent had been competing for the coveted ‘Seven’ positions and Tanzania had fielded its own top three tourist attractions. “I was a bit skeptic upon learning that, the ‘New Seven Wonders’ of nature will have three winners from a single country but official statistics and experts’ opinions did not lie,” said Dr Imler.
He added that even the votes from Tanzanians did not help to sway final experts’ conclusions. He also named the Seven Wild Life Wonders of Africa as the leopard, crocodile, elephant, hippopotamus, rhino, mountain gorilla and the lion.
The colourful proclamation ceremony was graced by the Prime Minister, Mr Mizengo Pinda, who was the chief guest at the awards giving session, held at the New Mount Meru Hotel. “As Tanzanians, we must protect not only the three winners but all natural resources and wildlife that our country has been endowed with,” said the prime minister.
The Minister for Natural Resources and Tourism, Ambassador, Mr Khamis Kagasheki, said Tanzania is proud to have three of its natural wonders among Seven Natural Wonders of Africa. Among those who attended the function include the Minister of State (Tourism) of Uganda, ambassadors, MPs and representatives of tourist boards from Zambia and Uganda.
The Director-General of Tanzania National Parks, Mr Allan Kijazi, was proud to have two destinations under his authority making it to the top seven and pointed out that Tanzania was always regarded as ‘Number One Natural Summit of Africa.’
Also vying for the title were Mount Kenya, Zuma Rock of Nigeria, the 'Peak of Furnace' in the Reunion Island, the 'Aldabra Atoll' of Seychelles, 'Tsingy Debemaraha,' of Madagascar and the 'Avenue of Baobabs' also found in Madagascar. Visitors wise, the Ngorongoro Crater, located in Ngorongoro District of Arusha, seems to be the most popular, attracting over 500,000 tourists every year.
Serengeti comes second with 350,000 annual visitors while Mount Kilimanjaro attracts nearly 55,000 tourists per annum. Overall, Tanzania as a country attracts around 1.2 million tourists per year with more than 80 per cent of these ending up in the Northern Circuit where the three features are located.
The Ngorongoro Crater is managed by the Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) while both the Serengeti and Mount Kilimanjaro operate under the Tanzania National Parks (TANAPA).

Saturday, February 9, 2013

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa leo, Alhamisi, Februari 7, 2013, ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Mkuu Dkt. Alex Malasusa
kuombeleza kifo cha Askofu Thomas O. Laizer wa Jimbo la Kaskazini Kati Arusha la KKKT aliyeaga dunia jioni ya leo.
Katika salamu zake, Rais Kikwete amemwambia Askofu Mkuu Malasusa: “Nimepokea kwa mshtuko mkubwa na huzuni nyingi taarifa za kifo cha Askofu Thomas Laizer ambaye nimejulishwa kuwa ameaga dunia muda mfupi uliopita, jioni ya leo, katika Hospitali ya Rufaa ya Selian, Arusha.”
“Askofu Thomas Laizer ametutoka lakini tutaendelea kumkumbuka kama kiongozi aliyetoa mchango mkubwa katika uongozi wa kiroho wa Watanzania na ambaye wakati huo alitafuta namna bora zaidi ya kuwatumikia waumini wake. Daima takumbukwa kama kiongozi ambaye alitumia vipaji vyake vyote kuwatumikia waumini wake na wote waliokuwa chini yake.”
Ameongeza Rais kikwete: “Kufuatia msiba huu mkubwa, nakutumia wewe Baba Askofu Mkuu Alex Malasusa salamu za rambirambi za dhati ya moyo wangu kukupa pole ya msiba huu na kupitia kwako kuwapa pole nyingi maaskofu na viongozi wenzako katika KKKT pamoja na waumini wote wa Kanisa kwa kuondokewa na kiongozi mwenzao na muumini mwenzao.”
Aidha, Rais Kikwete ameongeza, “Pia kupitia kwako Baba Askofu Mkuu, natuma salamu nyingi za moyoni mwangu kwa familia na wana-ndugu wa Marehemu Thomas Laizer.  Naungana nao katika kuomboleza.
Naelewa machungu yao katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na Baba, Babu na mhimili wa familia. Nawaombea subira ili waweze kuvuka kipindi hiki kwa sababu yote ni Mapenzi ya Mungu. Aidha, naungana nao katika kumwomba Mwenyezi Mungu,
Mwingi wa Rehema, aiweke pema peponi roho ya Marehemu Thomas Laizer. Amen.”
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
IKULU
DAR ES SALAAM
07 Februari, 2013
Hatimaye mwili wa askofu wa Kanisa la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi yaKaskazini Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer unatarajiwa kuzikwa Ijumaa ya wiki ijayo Februari 15, 2013.
Taarifa iliyotolewa na Kamati ya Mazishi ya KKKT na Familia ya Marehemu, iimeeleza kuwa Marehemu atazikwa katika eneo la Kanisa Kuu mjini Kati Arusha.
Aidha taarifa hiyo inasema kuwa waumini na Washirika wa Kanisa Kuu na makanisa yote ya KKKT nchini, Wananchi, ndugu jamaa na marafiki watapata fursa ya kutoa heshima zao za  mwisho kwa Mwili wa marehemu kuanzia siku y Alhamisi mchana ya Februari 14, 2013.
Taarifa hiyo iliongeza kuwa Mwili wa Askofu Laizer utalala Kanisani hapo hadi Ijumaa ya Mazishi.
Marehemu Askofu Thomas Laizer aliyezaliwa Machi 10, 1945 katika Kijiji cha Kitumbeine Wilayani Longido  na baade kupata elimu yake ya msingi hadi darasa la nane Longido na kumaliza mwaka 1965.
Askofu Laizer, aliendelea na masomo yake ya juu ndani na baade kujiunga na masomo ya Theolojia katika chuo cha Makumira na baade kuongeza masomo nchini Marekani.
Marehemu wakati wa uhai wake alikuwa Mwinjilisti, Mchungaji katika makinisa mbalimbali nchini na baade kuwa Mkuu wa Jimbo na Mkuu wa Sinodi na baade kuwa Rais wa sinodi kabla ya kusimikwa rasmi kuwa Askofu wa Kwanza wa Dayosisi ya Arusha ambayo kwa sasa ni Dayosisi ya Kaskazini Kati.



Friday, February 8, 2013


FAMILIA ya marehemu  Baba skofu Thomas Laizer wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania dayosisi ya kaskazini kati imesema kuwa hayati Baba askofu ameacha wosia mzito kwa waumini, wachungaji na viongozi wa kanisa hilo baada ya yeye kupita.
Akizungumza nyumbani kwa askofu huyo katika eneo la Nduruma mke wa askofu huyo Mama Maria Laizer alisema kuwa mume wake kila mara alikuwa anasisitiza kuwa kazi aliyoianzisha iendelezwe na isiharibiwe kwa vyovyote vile.
“Baba  askofu alisisitiza jambo hili hata kwa wote waliofika kumjulia hali akiwa kitandani kwake kuwa wahakikishe kuwa kazi aliyoianza inaendelezwa “alisema Mama Laizer.
Alileza kuwa alikuwa na mume wake masaa machache kabla ya kifo chake na kwamba mchana wa siku aliyoaga dunia alikuwa na hali nzuri lakini baadye hali yake ilibadilika na kuondokewa na uhai.
Alisema kuwa askofyu huyo alianza kusumbuliwa na maradhi ya kansa kwa kipindi cha miaka minne iliyopita lakini hakuweza kupata tiba stahili kwa haraka.
“Alikuwa akilalamika maumivu katika tumbo lake mara kwa mara na baadaye alizidiwa tukampeleka Nairobi akatibiwa lakini baada ya muda alianza tena kulalamika maumvu na ndipo akapelekwa India na kugundulika kuugua kansa ambayo tayari ilikuwa imesambaa mwilini”alisema Mama Laizer.
Marehemu Baba askofu Thomas Laizer ameacha mjane watoto wanne na mjukuu mmoja.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

Thursday, February 7, 2013


Askofu wa kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania  dayosisi ya kaskazini kati Askofu Thomas lazier amefariki Dunia jioni ya leo.
Habari ambazo zimethibitishwa na katibu Mkuu wa dayosisi hiyo Israel Ole Karyongi zimesema kuwa askofu alikumbwa na mauiti majira ya saa  12 za jioni ya leo.
“Ni kweli baba Askofu amepita na tuko katika hali ya dharura ngumu na tungependa mtuachie nafasi ili tuwape taarifa juu ya msiba huu kesho”alisema Karyongi akizungumza kwa njia ya simu .
Askofu lazier ndiye  askofu wa kwanza wa na mwanzilishi wa dayosisi  hiyo ambayo awali ilikuwa ikiitwa dayossi Mkoani Arusha kabla ya mwaka juzi kubalishw ajina na kuitwa dayosisi ya kaskazini kati.
Ni msiba mkubwa mno katika Mkoa wa Arusha kutokana na askofu huyo  kupata umaarufu katika kazi zake za kiroho na kijamii husasan jamii ya kabila la wamasai.
Anatajwa kushiriki katika kuendeleza jamii hiyo kielimu kwa kubuni na kuanzisha shule zaidi ya ishirini za sekondari zikiwemo maalum kwa ajili ya watoto wa kike.

kufuatia msiba huo,Waziri Mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowasa amesema kuwa kanisa na jamii limempoteza kiongozi na mpigania maendeleo ya jamii kiroho na kimwili.

 “Tumepoteza kiongozi wa kiroho na kijamii,amehusika katika kuelimisha jamii kwa kuanzisha shule nyingi za Sekondari,amehusika pia ujenzi wa hospitali ya rufaa ya Arusha Lutheran Medical Center,zahanti na vituo vya afya katika vijiji  kadhaa Mkoani Arusha pamoja na hoteli ya Corridor springs”alisema Lowasa.

Aliwataka waumini wa kanisa la KKKT kuwa watulivu katika kipindi hiki kigumu baada ya kuondokewa na kiongozi wao.

"Natoa pole nyingi kwa familia ya marehemu Baba Askofu Laizer  na kanisa la KKKT kwa ujumla wake,lakini askofu Laizer atakumbukwa kwa utumishi uliotukuka katika siku za uhai wake"alisema Lowasa akihojiwa na kituo cha radio cha kitaifa cha Radio one asubuhi ya leo

Aidha aliwapongeza madaktari wa hospitali ya Seliani  kwa jitihada zao za kumsaidia baba askofu akiendelea na matibabu katika hospitali hiyo.

 


Time Management

Translator

Popular Posts

Fellow Bloggers

Popular Posts

Visitors Worldwide

Total Pageviews