WATU 17 wamejeruhiwa watano hali zao zikielezwa kuwa mbaya
baada ya kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu kulipuka katika baa iitwayo
night Park katika eneo la Mianzini Jijini Arusha.
Tukio hilo
lilitokea usiku wa kumakia leo katika baa hiyo maarufu kwa kuwa na wateja wengi nyakati za
jioni.
,
Watu walionusurika John Bugege
na Lewis Nyali wakizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya...
TUMEJIPANGA KUTEKELEZA BIMA YA AFYA KWA WOTE- NHIF
-
Na Mwandishi Wetu, Songea
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umesema umekamilisha maandalizi ya
kuanza kutekeleza Bima ya Afya kwa Wote ambapo imewaomb...
1 hour ago