Wakili wa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Vitalis Timon, ameiambia Mahakama ya
Rufani kuwa waliopinga matokeo ya ubunge wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la
Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, hawakuwa na haki ya kufanya
hivyo kisheria na kwamba matusi, kejeli na kashfa haviwezi kumvua nafasi
hiyo.
Alidai kuwa matusi hayawezi kumvua ubunge Lema kwani wabunge wenyewe
walitunga sheria namba nane ya mwaka 1995 ikiruhusu...