| Mfuasi wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)jina lake halikuweza kufahamika mara moja akiwa na majeraha kichwani baada ya kushambuliwa na watu wanaodhaniwa kuwa vijana wa CCM katika kituo cha kupigia kura Jijijini Arusha kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya daraja Mbili Manispaa ya Arusha. |
0 comments:
Post a Comment