Tuesday, November 13, 2012

Rais Jakaya Kikwete amechaguliwa na kushinda kwa kishindo uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM taifa kwa kupata kura 2395.kati ya 2397 zilizopigwa hii leo. Kwa matokeo hayo Ndugu Jakaya Kikwete ameitetea vyema nafasi yake hiyo hadi mwaka 2017. Huku kura za hapana zikiwa 2. Sawa na asilimia 99.92.

Aidha wagombea wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti ambazo kwa upande wa Bara ilikuwa ikigombewa na Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Philip Mangula na amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kwa kura 2397,  huku nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar ameshinda Raius wa Zanzibar, Dk.Ali Mohamed Shein kwa kupata kura zote zilizopigwa 2397. Ushindi wa Shein na Mangula kushinda kwa kura za Ndio kwa Asilimia 100 

 
SOURCE ,LUKAZA 2010 BLOG

0 comments:

Post a Comment

Time Management

Translator

Popular Posts

Blog Archive

Follow by Email

Fellow Bloggers

Google+ Followers

Popular Posts

Visitors Worldwide

Total Pageviews